Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii mjini Dodoma Robert Rutegama na mai waifu wake Delly Kisesa wamemeremeta hivi majuzi katika kanisa la Lutheran Dodoma na baadaye kufurahia kumeremeta kwao katika mnuso wa nguvu ulioandaliwa katika ukumbi wa African View. Globu ya Jamii inawatakia maisha ya amani, furaha na upendo daima duni wadau hawa - kama wanavyoonekana kwenye taswira hii.
Home
Unlabelled
wadau robert rutegama na delly kisesa wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...