Watumishi
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiwa kwenye maandamano ya
maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika viwanja vya Mwembe Yanga,
Dar es Salaam.
Wakipita kwa shangwe mbele ya meza kuu huku wakihamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Meneja Matekelezo wa NHIF, Grace Lobulu akifurahia namna watumishi wa Mfuko walivyopita mbele ya meza kuu.
Baada
ya kutoka kwenye maandamano, watumishi wa Mfuko walitumia fursa hiyo
kwenda katika Hospitali ya Ocean Road kwa lengo la kuwaona wagonjwa na
kuwapa pole.
Wanawake wa NHIF wakibeba vitu kwa ajili ya kuwashika mkono wagonjwa.
Wakijadili jambo kabla ya kuingia wodini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...