Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Falme za Kiarabu,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi wakati alipomtembelea ofisini kwake leo.
Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi akiwa aktika mazungumzo na Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa,ambapo walizungumzia masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu katika sekta ya Elimu hasa kwa watoto.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...