Mkugenzi Mkuu wa Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo ya Afrika (WILDAF),Judith Odunga (kulia) akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa kila March 8 Duniani kote,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.Wengine pichano toka kushoto ni Lucy Marere kutoka Ubalozi wa Ireland,Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia,Mhadhiri wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Wakili Jesse James,Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Judith Kizenga pamoja na Muwakilishi wa YWCA,Itika Mwambungu

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Judith Kizenga akizungumza wakati wa kufungua warsha ya siku moja ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani,Iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Wakili Jesse James akitoa mada kwenye Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoratibiwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF),katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia akitoa mada kwenye Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoratibiwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF),katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...