Mwenyekiti wa Bongo Movie akitoa maneno kwa wageni waalikwa pamoja na wasanii wa bongo movie na muziki nchini waliohudhuria sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa East 24.
Keki ikikatwa kama ishara ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bongo Movie ikiwa imetimiza miaka 3
Rich Rich akilishwa keki na Mwenyekiti.
Mwenyekiti
wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies, Bw Johnson
Lukaza akipokea cheti cha kuthaminiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bongo
Movie kama mmoja wa wamiliki wa kampuni ya usambazaji wa kazi za filamu
nchini iitwayo Proin Promotions Limited.
Mtitu akipokea Cheti kutoka Kwa Mwenyekiti.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Mabibo Beer, Mama Benadetha Rugemalila akiongea na
waandishi wa habari wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa
wiki katika Ukumbi wa East 24 uliopo Mikocheni katika jengo la Arcade.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...