'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi
Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu
Askari anapangua teke....
Kisha anakata zote bee....
Mfungwa hoi...
Anadakwa kilaaiiini....
Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za wafungwa....
wajomba wapo poa
ReplyDeleteDuuu!
ReplyDeleteMajeshi ya Muungano yanatisha kama kifo!!!
Wapinga Muungano habari ndiyo hiyo!
ReplyDeleteJe mnataka serikali 2 au 3?
ReplyDeleteWanaotaka serikali 3 wanyooshe vodile juu hapa uwanjani halafu maafande watawapitia HUKO MAJUKWAANI mlipo kuwa mmoja baada ya mwingine!
Muungano oyeeee!
ReplyDelete