Basi la kampuni ya AM likiwa limepata hitilafu katikati ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Gari la mafuta likivuka moja ya daraja ndani ya hifadhi hiyo.
Eneo la mto ambalo linatajwa kuwa ni manywesheo ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro ambapo basi la kampuni ya AM lilipata hitilafu.
Kondakta wa basi la AM aliyefahamika kwa jina la Majogoro akichota maji kwenye mto kwa ajili ya kuweka kwenye rejeta baada ya injini kuchemsha.
Basi lilikunywa maji ,madumu ya kutosha
Wanyama mbalimbali ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. inakuwaje gari la kubeba mafuta linapita kwenye hifadhi? Hivi likipinduka madhara yake yanajulikana? TANAPA wanafanya nini kuweka sheria za kuzuia haya?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...