Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)  akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo  ambayo itamuwezesha  mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA) Frank Magupa  (wapili  kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika  la   Brien Holden  Vision Institute  hapa nchini Eden Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca Kasika.uzinduzi huo ulifanyika  katika viwanja vya Free Market jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa nchini(TOA) Frank Magupa  (kushoto)akiongea wakati wa uzinduzi wa miwani ya Kibo  jijini Dar es Salaam, ambapo huduma za macho zitatolewa hospitali za manispaa  za Ilala ,Kinondoni na Temeke .Wananchi watapata fursa ya kupima macho na kupewa miwani kwa bei nafuu ambayo kila mtu ataimudu .Katikati  ni Ofisa Mkazi wa Shirika  la   Brien Holden  Vision Institute  hapa nchini Eden Mashayo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...