With salams and jambo from IZAAS
Dr. Nice Rutabasibwa(Neurosurgeon) from Muhimbili Hospital Dar es salam, and Dr. Mazima( Chief Surgeon)at Mugana Hospital joined hands to help the man with the BIG PILLOW
On the mobile phone with IZAAS administration the man with the BIG PILLOW SAID............I HAVE CHANGED my mind, i don't want to be operated, please help me to go back home to my family.
But at the end he lost his pillow, kindly read below.
Mubaarak Abdullah.
Sidhani kama tunahitaji kujua hawa kama ni madaktari bingwa. Kitendo cha kuweka picha humu kwenye blog haiendani na miiko ya madaktari.
ReplyDeleteHata kama ni kuomba misaada kuna njia sahii za kufanya hivyo.
Hii naipeleka kwa human right activists. Hawa madaktari sijui kama wanajua wanalofanya hata kama wanataka kujitangaza.
Next time Michuzi please don't post these photos la sivyo na wewe tutakushughulikia.
Utamshughulikia nani wewe? acha mikwala mbuzi.
ReplyDeleteHakuna tatizo lolote lile kuweka picha za hawa wagonjwa, PROVIDED THAT, wagonjwa waliombwa na wakakubali picha zao zitumike kwa jinsi hii, they must have consented to this. Kitu amacho mi-stew anatakiwa afanye ni kutuonya tu ya kwamba picha zinaweza kusumbua fikra za baadhi ya watu, period.
Dr Gangwe.
dah,ahasante sana gangwe.hilo jina lako tu nimelikubali.safi sana
ReplyDeleteDr Gangwe, how can you rule out if that was not a coerced consent? Nakubaliana na mdau wa kwanza, hii ni kumdharirisha mgonjwa.
ReplyDeleteNafikiri madaktari wetu hawaelewi nini maana ya informed consent!!!
This is bad