Rais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto,katika Mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja jana.
Baadhi ya maofisa wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu Bi Asha Abdalla,alipokuwa akiwasilisha taarifa katika mkutano wa Utekelezaji Mapango kazi za Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja jana,chini ya MwenyekitiRais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...