Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame(wa pili kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar,Mhe.Mwigulu Nchemba(wa pili kulia),Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Paul Mwafongo (Kulia)na Bw.Suleiman Saleh (kushoto), Maofisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC wakiwasindikiza viongozi hao katika uwaja wa ndege wa Dulles,Washington DC, baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizoandaliwa na Ubalozi Jumamosi na Jumapili Aprili 26 na 27.2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...