Mfalme (King) Mswati II akimkaribisha Dkt. Stergomena L. Tax, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kusini mwa Afrika (Southern African Development Cooperation - SADC) wakati wa Ziara ya kikazi ya Katibu Mtendaji nchini Swaziland. Katika Ziara hiyo, viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kutumia uhimilivu wa kisiasa uliofikiwa katika Kanda ya SADC kama muhimili muhimu katika kuongeza kasi ya kuendeleza maeneo yatakayochochea maendeleo ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na miundombinu, uendelezaji na uwezeshaji wa uzalushaji na biashara miongoni mwa Nchi Wanachama.
Home
Unlabelled
Dkt. Stergomena L. Tax amtembelea Mfalme (King) Mswati II swaziland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...