Finance Minister Hon. Saada Mkuya Salum speaks during the signing ceremony of CRDB Bank's  landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing support to small businesses, particularly those owned by women, as well as to farmers and agribusiness in Tanzania held at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014 in the sidelines of the World Bank-IMF Spring Meeting.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mhe Sada hongera, kwa hakika unaweza, wakati wa uteuzi wako watanganyika wengi walibeza uteuzi wako kwa sababu binafsi tuu. Wengine walidiriki kusema eti hata kwemye mikutano kama hii, hutakuwa na hata la kusema, ni kawaida ya mabezo ya watanganyika, lakini usijali, maneno ya wapumbavu sometime yapuuzie mbele. Kule kwenye Jamii forum kulikuwa na mijadala karibu mwezi mzima, kuhusu elimu na uwezo wako. Wengi wao katika mijadala yao hawakupenda uteuzi wako just kwa sababu wewe ni Mzanzibari na Muislam. Kwa sababu hoja zao hazikuwa na msingi, kwa kulinganisha na watu eti wenye Phd, na shahada kama hizo, lakini wameifanyia nini Tanzania.

    Hongera dada.

    ReplyDelete
  2. Sidhani kama ni busara kulitazama kila jambo kwa jicho la udini! Tukifanya hivyo tutashindwa kukosoana.Saada mkuya siyo muislam wa kwanza kushika Wizara ya fedha.

    ReplyDelete
  3. Anonymous 2, nakubaliana nawe kabisa kwamba kwa kuyaangalia mambo na kuyaendesha kwa jicho la udini hatutafika mbali. Lakini huu ndio uhalisia wenyewe kwa sasa hapa Tanzania. Pia nakubali Bi Saada si Muislam wa Kwanza kushika Wizara ya Fedha hapa Tanganyika ila hata baadhi hao waliopita walikumbana na misukosuko mbalimbali kwa sababu ya imani zao. Refer Mr. Malima Senior.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...