Mchana wa leo imeshesha mvua kubwa kiasi na kupelekea maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kuwa kama ionekanavyo pichani.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani Tanzania- hasa Dar, jiji litabidi litengeneze jia bora za maji. Wangekuwa wanatuma wataalamu nje kama Marekani au Uingereza ili wajifunze wenzao walivyofaya kuhusu Sewer system kwenye majiji kama New York au London. Haya si maji mengi ya kuzagoo barabarani kungekuwa na best sewer system.
    Halafu maeneo yanayofurika kama msimbazi nk wangeyageuza kuwa green zone au bustani ya kustarehe yenye bwawa- ili watu warudirudi maeneo hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...