WAKATI TUKIELEKEA KATIKA SIKUKUU YA PASAKA NA KUHAKIKISHA KWAMBA WATU WOTE WANANYUKA PAMBA KALI (MAVAZI),DUKA LAKO PENDWA LENYE VIWALO VIKALI NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LIFAHAMIKALO KAMA J&M VIRGO,LIMESHUSHA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA.
HIVYO FIKA DUKANI KWAO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA ILI UWEZE KUJIPATIA PAMBA KALI ZA KINA BABA NA KINA MAMA,POCHI BABKUBWA,MOKA ZA KISASA KWA KINA BABA NA MICHUCHUMIO MIKALI KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
urefu wa viatu vya sikuhizi unaweza kutegua watu miguu.
ReplyDeleteHahahahaha! Yaani Acha tu mdau, mi mwenyewe nawashangaa, halafu unakuta mtu tayari mrefu na katilia inchi 6! Yaani ni jini kashikashi kabisa!
Deletesio kutegua miguu vina haribu kizazi,muige kwa mpango sio kila kitu.
ReplyDeletewala c uongo
ReplyDelete