Profesa  Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma  aliyeko  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo  kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.
 Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto).
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan (kushoto) akimsikiliza Profesa Ted  Mariyamkono(kulia), ambaye ni Mtendaji Mkuu wa  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP) wakati akitoa maelezo juu ya kitabu cha KATIBA  BORA  TANZANIA , maalum kwa wajumbe wa Bunge hilo  ili kusaidia mchakato wa Katiba mpya ,
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto) akipokea kitabu cha KATIBA BORA TANZANIA  kutoka kwa Profesa Ted  Mariyamkono(kulia) ambacho kimetayarishwa na wanataaluma 100 kutoka Taasisi ya Utafiti ya  Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP) kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo kitakachosaidia kwenye mchakato wa Katiba mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. The mdudu,mbona watu wanapenda kuingilia kati maoni ya WANANCHI hao wananchi wametoa maoni yao hayo ya serikali TATU because wamechoshwa na mifumo kandamizi na isio na tija kwao sasa kwanini MAONI YAO YASIHESHIMIWE? Au kwanini mlipita na kuwauliza mfumogani wa mungano mnaoutaka? Leo hii wamechagua mfumo ambao utawatoa kwenye umasikini na ukandamizaji mnawaona hawafai? Mnataka kuwatengenezea mambo yenu mnavyoona nyie hilo ni kosa kubwa kuwachagulia kitu ambacho wao wananchi hawakitaki je nao wakija kuyakataa maoni yenu itakuaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...