Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa watu katika Kijiji cha Nyenge, wakati wa ziara yake wilayani Kasulu leo ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara mkoani Rukwa, hivi sasa ameanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa na Baadhi ya Wanachama wapya waliojunga
na CCM na kukabidhiwa kadi.Kutoka kulia ni Katibu wa CHADEMA-SUA
Wilayani Kasulu,Adolf Yanda pamoja na Mweyekiti wa Kijiji cha Rungwe
Mpya-CUF katika kata ya Rungwe Mpya,Nahoson Kigamba.CCM imekabidhi
kazidi 500 za wananchama wapya walioamua kujiunga na chama hicho cha CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wawatu mjini Kasulu, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayote kelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara mkoani Rukwa, hivi sasa ameanza ziara mkoani Kigoma.
Baadhi ya maelfu ya Wananchi wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Tax Kasulu mjini jioni ya leo wakati Katibu Mkuu wa CCM;ndugu Kinana alipowahutubbia kwenye mkutano wa hadhara
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa watu kwenye Stendi ya Tax mjini Kasulu, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM. Kinana ambaye tayari ameshafanya ziara mkoani Rukwa, hivi sasa ameanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma.
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,Mh Dan Makanga akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa wananchi,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo kwenye stendi ya Tax,Kasulu mjini mkoani Kigoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...