Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI - ANKAL NDANI...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
fanyeni mazoezi mkate matumbo maana hapa mnashindwa kuwakilisha huku mkiwa mmenenepeana kama hamjui mtu ni afya.
ReplyDeletekipindi cha leo kulikuwa na point muhimu za kuzungumzia lakini huyo aliyekuwa tanzania ana mikelele kama nini naomba vijimambo irudi hewani watu wajijue ni nini cha kuongea kwenye kamera na nini cha kutoongea huyo mwenye tshirt nyekundu mshamba hata basi utazani kuku anataka kutaga
ReplyDeletethe rest they was good hivi kunakiongozi anayeruhusu nani aongea au nani asiongee kama yupo basi hawamuheshimu,mikelele kama chadema na ccm ext week i hope i will not be dissapointed
Iyo fulanaaz mpaka kichef chef mpaka inanuka mavwi
ReplyDeleteje hiyo fulana inafuliwaga?
ReplyDeletehaya mazungumzo mbona ni sawa ni ya kilabu ya pombe za kienyeji?
ReplyDeletembona mchuzi anasema anaondoka, lakini haondoki?
ReplyDeletempwa, unaonekana mstaarabu kuliko watu wote katika mkutano huu wa kijiwe
ReplyDeletehii clip ina makelele ile mbaya hebu rekebisheni please hatuwasikii na jama domo kaya cha domoo anatibuwa watu mario benja pole pole bwana umeshakuwa mtu mzima
ReplyDeleteBabu yangu aliwahi kutamka, "shinda hoja kwa kutumia nguvu ya hoja na siyo kwa kutumia nguvu ya DOMO". Wanabaki kupiga makelele tu mpaka inatia aibu kusikiliza some of this verbal diarrhoea.
ReplyDeletekijiwe manaake makelele....makelele ndo the whole point ya kijiwe. ushaenda kijiweni ukakuta watu wanajadiliana kama wako ofisini? hiyo siyo mijadala ya board room. ni KIJIWE...i like it just the way it is, inasereve the purpose
ReplyDeleteDah! Mwaipaja umemaliza ishu yote ya Diaspora, KWISHA KAZI. Nashangaa kuona watu Bongo wanatusema Diaspora vibaya. Nadhani inabidi sasa hivi tukufanya kitu kizuri kwa Bongo tujitangaze kwa nguvu, siamini vitu tunavyofanya na bado tunafanya Bongo, ya kwamba watu hawatupendi, naamini ni chuki binafsi.Lakini kitu kimoja napenda kujiuliza sisi Diaspora,Je mchango wetu wa uraia pacha ni Watanzania waliopo Marekani tu, au U.K, Ulaya, Asia na sehemu nyingine wanahusishwa? Diaspora tuache mdomo tufanye kweli. Naamini kati ya USA, Canada, UK na Asia, toa kidogo watu walioko vibaya kipesa, tungekuwa tumetimiza elfu $25. Iki ndiyo viongozi wetu wameona kinafaa, changia tuache mdomo, mie nilishachangia tayari, ingawa naona uraia pacha hautanisadia.
ReplyDelete*Mmbongo Chiberia*