Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mahembe ambapo alitoa sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga madaraja makubwa matatu,Maragarasi ,Kilombero na Kivukoni na kujenga Shule za Kata nchi nzima. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
KINANA AMPONGEZA JK KWA KAZI NZURI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...