BERNARD THOMAS NDERUMAKI
Ni mwaka mmoja umepita tangu mungu alipokuchukua mnamo tarehe 10 Aprili, 2013. Si rahisi kumpata mbadala wako, kwani ulikuwa Mume, Baba, Babu, Mwalimu, Rafiki na zaidi ya yote mtu mwenye upendo wa kweli kwa jamii.
Kumbukumbu zako hazitakaa zitutoke kirahisi, na tutakua tukikukumbuka milele. Pumzika kwa amani.
Misa ya kumbukumbu itafanyika Kilema Moshi siku ya Jumamosi tarehe 26 Aprili, 2014, saa 7 Mchana.
Wote mnakaribishwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...