Mapokezi Azam Fc1
Basi lililowabeba wachezaji wa Azam. Baada ya kuweka rekodi mpya ya kutwaa taji la ligi ya mabingwa Tanzania bara, wanalambalamba wa Azam wametua leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere na kulakiwa kwa shangwe na mamia ya mashabiki na wapenzi wa timu hiyo.
Azam wapokelewa uwanja wa ndege    Mapokezi Azam Fc2 Mapokezi Azam Fc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. USHINDI HUU WA AZAM UNATUPA MESSAGE GANI WATANZANIA? KATI YA MIHELA,GOOD MANAGEMNET AU VYOTE NI KIPI KINACHOLETA USHINDI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...