Kaka wa marehemu, Francis Dande (wa pili kulia) akiweka shada la maua pamoja na shemeji yake Imamu Msangi (kulia)
Shalon Dande akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu shangazi yake.
Wakiwa katika hali ya huzuni Kaka wa marehemu, Francis Dande (kulia), na John Dande wakiteta jambo wakati wa mazishi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...