Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad.
Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba.
Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum wakimsikilija Jaji Fredrick Werema akifafanua baadhi ya vipengele vilivyomo katika kanuni za Bunge Maalum.
Picha na Owen Mwandumbya.
samuel 6 kweli ni spika wa viwango na kasi.namkubali sana.yaani akiongoza vikao utapenda,zile mbwembwe,vionjo na nyongeza za hapa na pale zinafanya bunge linoge kwa kweli.anachangamsha.HONGERA SANA MZEE
ReplyDelete