Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Issa Faisal akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,kilichofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. |
Mdau namba moja wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,mkuu wa mkoa Leonidas Gama akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali katika
mkutano huo. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...