Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati
wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada
ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda.
Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. |
Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . |
Barabara iko kwenye matengenezo. |
Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. |
Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na Arusha.Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...