Bondia Juma Biglee (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Bondia Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn Chalinze mjini,mkoani Pwani.Biglee alishinda kwa point.
Mabondia hao wakitupiana makonde mazito mazito.
Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa Chalinze.
Bondia Mwaite Juma (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Bondia Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn,Chalinze mkoani Pwani.Juma alishinda kwa point.
Bondia Mwaite Juma (kushoto) akijipanga namna ya kutupiana Makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn,Chalinze mkoani Pwani.hadi mwisho wa mchezo,Juma alishinda kwa point.picha na SuperD Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...