Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Maji Moto kwenye uwanja wa kijiji hicho mapema jana jioni,Wilayani Mlele mkoani Katavi.
Home
Unlabelled
NAPE NNAUYE AMVAA TUNDULISU KUFUATIA KUMKASHIFU BABA WA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwani Tundu Lissu amemkashifu Nyerere kivipi?ina maana hata kama Nyerere amekosea tusiongee,tukiongea basi tumemkashifu.Ndugu Nape acha hayo mawazo potofu,utaenda kujibu kwa Mwenyezi Mungu kwa upotoshaji
ReplyDeleteTundu Lissu hatabaki salama kwa salamu alizoletea watanzania mchango wa Mwalimu unajulikana hata siku moja uchu wa madaraka na kuingia ikulu havitawasaidia hata wangetoa povu la moto midomoni.Ametia aibu watanzania na ametia aibu hao ma extremists UKAWA mi ni mtanzania tu na wala si CCM
ReplyDeleteHuyu tundu lissu amejimaliza kisiasa mwenyewe hivi kuna kichaa yoyote hajui mchango wa baba wa taifa kwa hili taifa letu??CCM chukua jimbo hilo la huyu lissu sidhani kama kuna mtanzania yoyote mwenye akili timamu atamchagua huyu mtu come 2015...amejishajisahau alisomeshwa buree kwa pesa za walipa kodi chini ya usimamizi wa baba wa taifa hivi nani leo angemjua huyu mtu....maana kwa top cream families za Tz hakuna kitu kinaitwa lissu....amshukuru sana tena sana baba wa taifa kwa kumfikisha hapo si shule ndio iliomleta mzizima???
ReplyDeletemdau wa Finland.