Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia, kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. 11 tu ndo maiti

    ReplyDelete
  2. duu! papo hapo.Magari yanauwa zaidi hata kipindu pindu. Nini kinga na nini dawa ?

    ReplyDelete
  3. Madereva mjue mnaendesha watu siyo mizigo, na barabara mnazotumia wakati wote siyo nzuri sana, zikiwa pia na malori yanayosimama ovyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...