Ankal akijiandaa kuingia ndani ya ndege yake ndogo inayoweza kutua popote aliyoinunua hivi karibuni kutoka katika visiwa vya Ushelisheli (Seychelles Islands) ili kuepukana na adha ya foleni jijini Dar es salaam.
Ankal ameiambia Globu ya Jamii kwamba amekuwa akisomea urubani wa ndege hiyo kwa siri kwa mwaka mmoja na sasa ameshatimiza masaa 450 hewani na tayari ameshapata leseni ya kupaa katika jiji la Dar (mchana tu, kati ya saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni) na kutua katika viwanja mbalimbali vikiwemo vya Gymkhana (kwa wilaya ya Ilala), Uwanja wa Taifa wa zamani (wilaya ya Temeke) na Biafra (wilaya ya Kinondoni) na Maisara (Unguja).
Maombi yake ya kutua katika miji mingine mikubwa kama vile Mbeya, Mwanza, Arusha, Rukwa, Katavi, Njombe, Dodoma na Morogoro yanashughulikiwa na huenda akafanikiwa mara baada ya sehemu za kutua katika mikoa hiyo zitapothibitishwa na mamlaka husika.
Ankal anakuwa blogger wa kwanza Mtanzania mwenye kumiliki ndege yake mwenyewe. Anasema hiyo ni hatua moja kubwa aliyokuwa akiiota miaka kadhaa wakati alipokuwa anafikiria si tu namna ya kupambana na foleni mijini, bali pia kufikia habari moto na kwa muda muafaka..
Haaaa haaaa tumestuka LEO NI SIKU YA WAJINGA, hakamatiki mtu hapa!
ReplyDeleteSiku ya wajinga hiyo ha ha ha ha najua unawezo Ankal wangu lakini aaaaahhh...!! umetupiga changa la macho.
ReplyDeleteApril's Fool>>> hehehee
ReplyDeleteHongera sana Ankal. Mungu ni muweza wa yote kwake yeye aaminiye na kumtukuza. Mimi binafsi nimefurahishwa na hatua hii nzuri uliyoipiga kwani naamini itarahisisha kazi yako kwa kiasi kikubwa nasi tutafaidika pia.
ReplyDeleteApril Fools Day....
ReplyDeleteSIKU YA WAJINGA DUNIANI. HONGERA KWA NDOTO NJEMA
ReplyDeleteHahahaha ankal hongera sana kwa kupiga hatua kubwa Kama hiyo kwenye karne hii yenye changamoto nyingi kwa sie wabeba boksi, swali la kizushi mbona hii sehemu Kama pale uwanja wa nanihiu pembeni mwa jnia maana hizo rangi za jengo na Ac za sanyo zilizochoka malaya Kwikwi Kama hapa ni sychells as u said... jibu tafadhali na kumradhi Kama kwa mbaaaali ntakuwa nimekutibulia kwa bbys maana uzee umeisha kule kwenye kampeni so unajua tena bbys za mujini ukiwa na ka private jet tena mweh kwa ubuah..ni hayo tu
ReplyDeletetehe tehe tehe......fools day
ReplyDeleteSiku ya wajinga ankal!! But was good one though!
ReplyDeleteApril 1
ReplyDeleteHongera sana Ankal na MUNGU akuzidishie am really proudly of you
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteHongera na pia sikukuu ya wajinga!
Karibu kwenye ulimwengu wa kupasua anga.... angalia jamaa wa TRA wasikupe usajili wa MH370
ReplyDeleteKaribu Aprli 01
Wajinga Day Ankal
ReplyDeletehongera sana kama kweli...ila nawasiwasiiiiiiii
ReplyDeletetarehe moja mwezi wa nne,
ReplyDelete01/04
ReplyDelete01/04
ReplyDeleteMjinga mwenyewe
ReplyDeleteAsante ankal.. Tunajua hii ni April Fools day.. Lakini kwa uhakika imekaa vizuri hii, fanya kweli basi.
ReplyDeletesiku ya wajinga
ReplyDeleteapril fool!!!!!!!!!
ReplyDeleteAnkal safari hii hutu pati ;) 1/04 / 2014; )
ReplyDeleteI'm not fool. Hahaaa
ReplyDelete'You can fool people some time but you can't fool people all the time'.
ReplyDeleteDon't try to hoodwink peole please
Nimekuona eeeeee. April fool!
siku ya wajinga leo
ReplyDeleteDuh! Big up ankal. ...Hongera sana kaka!
ReplyDeleteHongera, ha ha ha
ReplyDeleteNionavyo mimi ingekuwa bora kama ungejinunulia helichopa.
April wise men's day.
ReplyDeleteHahhaaaaaaaaa hutupati ng'o
Ankal kweli kaukata siyo mwenzetu tutakuwa tunamuona kwa juu lakini atatua wapi akiwa anaenda kwao kwani kuna uwanja wa ndege. Au ndiyo April fool.
ReplyDeleteHahahaha. Ankal ungenunua kwanza fulana zingine kabla ya hiyo ndege.
ReplyDeleteHongera sana uncally wetu kwa kununua ndege kwa ajili ya april/1 tu, kwani kesho hutakuwa nayo
ReplyDeleteCongratulations, big up, hongera sana, kila la kheri, Tegeta utatua kwenye uwanja gani, nataka niwe nawahi lift nitachangia wese.
ReplyDeleteHongera Ankal (KAMA NI KWELI!!!)
ReplyDeletesiku ya wajinga duniani
ReplyDeleteCongratulations Ankal. Ila tu taarifa hizi zilipaswa kutufikia jana au kesho na sio leo kwakuwa leo ni tarehe 01/04/2014. Kwa wajanja mmeshaelewa ninachomaanisha.
ReplyDeleteAnkal na vijijini pia kuna shemu kuna viwanja.Omba pia kutuwa katika kiwanja cha kijiji kiitwacho TUTAYAONA kilichopo mpakani baina ya kijiji cha Kufikirika na Kusadikika katika wilaya ya Mambousiayaige.
ReplyDeleteJINGA`S Day
ReplyDeleteAnko hampati mtu, n'a April fool
ReplyDeletehahaha anko asante kwa April full...
ReplyDeleteIs it April Fools day au nimekosea?
ReplyDeleteHongera sana
ReplyDeletewell done uncle happy fools day
ReplyDeleteAPRIL FOOLS DAY!
ReplyDeleteTumekushtukia Anakali, yaani hapa humpati mtu. Tarehe 1 Aprili hiyo.
ReplyDeleteNi tarehe 1/4 so ankal kajipange upya!
ReplyDeleteHongera sana Michuzi kwa hatua hiyo,Sasa ni News kwa kwenda mbele.
ReplyDeleteApril Fools hiyo!
ReplyDeleteHongera uncle kwa wazo zuri isije kuwa ni foolish day. Nachelea kuamini.
ReplyDeleteSikukuu ya wajinga ....
ReplyDeletemhh
ReplyDeleteshauri yanko ankali si uwezi wa kukutafuta DEEP SEA hatuna.
ReplyDeletewe ankal unafikiri hatujui kwamba leo ni siku ya wajinga
ReplyDeleteZe Mamba:
ReplyDeleteKwi kwi kwi. Haya ankal, kanyaboya zuri sana, na nimelipenda. Umewapata wangapi? Kwi kwi kwi.
On a serious note, inabidi ununue ndege ankal, maana wewe ni alwatani kwenye hili gemu.
Sikukuu ya wajinga leo.
ReplyDeleteKaka nashukuru kwa kutukamata vizuri siku ya wajinga nami nimekuwa mjinga kwa leo asante sana mkuu wa kazi.
ReplyDeleteIla kwakuwa umenikamata vizuri nakuombea ununue helkopta kabisa ili kukidhi matakwa yetu sie wapenzi wa mi-newzzzzz ya kukata na shoka.
Ndio Mzee wa Libeneke! Napenda kutoa Pongezi kwa Jitihada zako na mafanikio ya kuliendeleza Libeneke! Pia Hongeza sana kwa Kumnunua huyo ndege ingawa inatia mashaka kuona ndege hana Jina! Ndio maana hisia zangu zinaniambia kuwa ni Jiwe la Fool's Day so Ngastuka Mzee! Nice try though! Ila kama ni kweli Hongera tena Uncle!
ReplyDeleteUncle hili ni changa la macho sikukuu ya wajinga leo ,mdau wa Ukerewe
ReplyDeleteBraza michu acha hizo leo sikukuu ya wajinga
ReplyDelete1.4.2014
ReplyDeleteumeniokota kweli siku ya wajinga leo.du...
ReplyDeleteHichi ni kibonzo cha Fulls Day! Good luck with that!
ReplyDelete1st April ni siku ya akina nani vile?
ReplyDeleteNADHANI LEO NI TRH 1
ReplyDeleteSikukuu ya wajinga
ReplyDeleteHapo kama Dar sa Salaam terminal 1 vile???.....hahahahaha.....April 1st
ReplyDeleteHongera, weka nembo ya Fulanaz basi.
ReplyDeleteHongera Ankal...lakini kununua hako kapipa siku ya April 1st mimi bado hujanipata.
ReplyDeleteApril fool!!!! Misupu nimekushtukia....ha ha ha
ReplyDelete"Fools Day 01 April ni Siku ya wajinga"
ReplyDeleteAnkal kwa leo sitokupa Hongera
labda kama ukitoa hizi habari tena
kesho nitakupa hongera saana mkuu
Mikidadi- Denmark
1st april Ankal teh teh teh
ReplyDeleteIts april fooooool
ReplyDeleteKama nakumbuka vyema tarehe kama hii mwaka fulani huko nyuma ankal aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, sasa kanunua ndege, mhhh, mambo yake si mabaya!!!
ReplyDeleteNdege hii inafafa ya kwangu niliyopaki mujini Dar es salaam. Imepata pancha ya tairi la kulia.
ReplyDeleteHongera sana
Karibu kilabuni ankal
pilot mzoefu
Leo si ile siku yao....!
ReplyDeleteApril moja utawapata wengi ankal! lol!
ReplyDeleteWooote nyie mmechemsha leo sio siku ya wajinga but the Mduduz day.
ReplyDeleteukiwa mjinga...na sisi sio wajinga..
ReplyDeleteAma kweli Fools Day! Ndege gani kutua uwanja wa biafra ambapo pamekuwa dimbwi la maji!!
ReplyDeletekwa april2nd..... mimi nitanunua ikulu ndogo pale chamwino ankal, sitaki tena kukaa darchalama, kuna vumbi na fujo nyingi mno....ankal
ReplyDeleteHakikisha unaisadili kwa number AK040114.
ReplyDeleteDUUH BRO HONGERA SANA ILE AHADI YAKO IME TIMIA KAMA TULIVYO ONGEA USUBIRI MPAKA SIKU KAMA YA LEO U BREAK NEWS NA KWELI USEMI WAKO WATU WATAFIKIRI APRIL CHANGA LA MACHO INA BIDI KUWAPA KIZARAMO KALAGA BAHO BIG UP BRO
ReplyDeleteAngalia usipotelee mto ruvu au wami kama malysia airline = april fool
ReplyDelete