Fadhili Williams anaimba "Malaika" (Original Version)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Heshima yako Ankal.Hivi huyu ndiye mwimbaji wa kwanza kabisa kuimba wimbo huu?mzuri sana na unaimbwa sehemu nyingi Duniani.juzi nilifanikiwa 'kuzamia' sherehe za muungano Ujerumani,wimbo huu uliimbwa na dada wa kikundi cha kutumbuiza cha ngoma asili cha 'JEIWII' kwa hisia kali sana,ukatugusa pamoja na wazungu.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...