Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kushoto), akimtoka beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kulia), akichuana na beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani. Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Idd Suleiman (kulia), akiwatoka wachezaji wa timu ya Kenya katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
Wachezaji wa Ngorongoro Heroes wakicheza kiduku baada ya kuiondoa katika michuano ya kufuzu kuxcheza fainali za afrika kwa Vijana timu ya Kenya katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini dar es Salaam, ambapo Ngorongoro Heroes imeshinda kwa penalti 4-3.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...