Bw. Jaha Khamis Saidi, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kitope akimshukuru Kaimu Meneja wa
tawi la NMB Zanzibar, Bakar Mohamed baada ya kupokea madawati kutoka benki ya NMB. Msaada
huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa shule ya msingi Kitope ili kupunguza uhaba wa
madawati unaoikumba shule hiyo.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kitope mjini Zanzibar wakiwa wamekaa kwenye madawati
yaliyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa madawati unaoikabili shule ya
msingi Kitope . Jumla ya madawati (50) hamsini yamekabidhiwa hivi karibuni katika shule hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...