Home
Unlabelled
Rais Kikwete akizungumzia kuhusu uchumi na mafuta alipokutana na Watanzania waishio nchini Uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mazungumzo ya Uchumi wa Mafuta na Gesi huko London:
ReplyDeleteSasa huko UKEI na MAJUU ZOOOTE ndiko hii fitina yooote inakotekea hadi tunashuhudia Mchakato wa Bunge la Katiba una sua sua, inasemekana hawa anaotusumbua nchini wana dhaminiwa na Wahisani waliopo Majuu, penye msafara wa Mamba Kenge wamo, ndugu zetu wa Majuu wakiwemo hao hao Madiaspora wanaolilia Utanzania inafahamika wengi wako AGAINST THE GOVERNMENT wengi ndio wapinzani wakubwa.
ndugu zangu angalieni sana sababu za kibinafsi zisichonganishe watu na nchi yao. mchangiaji hapo juu anachafua hali ya hewa na maoni yake watanzania msichoke na amani ambayo tumeridhi na ni lazima tuitunze kwa gharama yoyote. mbona huu mkutano unaonekana ulikuwa poa tu? biadamu wote ni sawa mahali popote aliko msiwabague jamani. hata mimi natamani kwenda huko vile sina uwezo.
ReplyDeleteMdau wa Pili KWA KUWA KILI YAKO NI NDOGO HUJUI YA KUWA kuna 'watu na viatu'
ReplyDeleteMimi nina ndugu na jamaa wengi sana huko Majuu lakini mara zote huwa siwaamini sana watu hawa Madiaspora.
Usifikiri kila anayesikiliza hapo atakuwa pampja na sisi KUMBUKA WENGI WA WATU HAO WA MAJUU WALIONDOKA NCHINI WAKIILAANI NA KUIKOSOA SERIKALI.
WEINGINE WAMESHINIKIZA HUKO MAJUU WAKIIKOSOA TANZANIA NA KULALAMIKA YA KUWA WAMEKANDAMIZWA WALIPOKUWA TANZANIA ILI WAWEZE KUPATA SHERIA ZA KUISHI HUKO MAJUU.
HIVYO, KUSEMA WOOOTE WANAO JICHANGANYA HAPO WATAKUWA NA NIA NJEMA NA TANZANA!
nadhani hii glob ni kwa kuchangia maoni yenye maendeleo na sio kuanza kusuta au kujadili watu. maoni mengine yachujwe kiumakini. Haya mataifa yakiomba ufafanuzi na ushahidi wa yaliondikwa mchangiaji wa kwanza hamuoni kama mnaiweka nchi pabaya?
ReplyDelete