Ray C akiwa ndani ya Legendary Music Studio akirekodi moja kati ya nyimbo zake Mpya. It was a good experience working with such a Big Tanzanian and East African Female Artist. Stay tuned for more good music from Legendary Music-Tanzania stay tuned kwa Ujio Mpya wa Ray C.
Home
Unlabelled
RAY C: NEW SONG TEASER: LEGENDARY MUSIC-STUDIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizi studio za muziki wa zama hizi hushirikisha washika maiki tu?
ReplyDeleteStudio ili ikamilike inatakiwa producer a.k.a mwenye studio pia kuhusisha wapiga ala za muziki kama saxophone, tumba, magitaa n.k ili kazi iwe bora zaidi.
Haiwezekani studio ikawa na producer tu huku ni kuzuia uwigo mpana wa kutoa 'beats' tofauti tofauti kwa kazi inayoingia studio.
Maana weneye studio wakiwashirikisha wanamuziki wapigaji ala basi penye wengi hapaharibiki kitu na kila kitu kikitolowa kitakuwa na uaina wa kipekee.
Wenye studio muende mbali kwa kuzingatia angalizo hapo juu ili muziki wa kizazi kipya uweze kudumu miongo kadhaa na kila wimbo mpya utakuwa wa aina yake.
''Ukitaka kula mwenye studio lazima uliwe'' hivyo shirikisha watu zaidi katika kazi zenu na mapatao yataongezea na kuweza kuwalipa wanamuziki wa alama na washika maiki na muziki kuwa unatambuliwa kimataifa.
Mdau
Motown Detroit
Michigan USA