Miongoni mwa vijana 116 waliopatiwa Kipaimara na Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya, kwenye kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati juzi, hapa wakipita mbele ya wageni na waumini mbalimbali wa eneo hilo.
![]() |
Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya akiweka jiwe la msingi juzi kwenye ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati, linalotarajia kugharimu sh915 milioni. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...