Msanii mashuhuri nchini Shilole aka Shishi Baby aka Shakira wa Bongo akiwa na rafiki yake Ramadhani "Super Tall" katiuka kiota cha Coral Beach hotel ya Masaki jijini Dar es salaam katika taswira aliyotutumia jioni hii.
Shilole anasema Bw. Ramadhani ni mmoja wa mashabiki wake wakubwa na anathaminis sana mchango wake mkubwa katika kutangaza kazi zake. Shilole, ambaye anatamba na single yake mpya ya mwaka 2014 ya "Chuna Buzi" (cheki video hapo chini) , alikuwa hapo Coral Beach kupanga mikakati ya show zake kabambe nchini Oman na Marekani baadae mwezi ujao. Na amesema kwamba mwaka huu amepania sana na anakuja kivingine kabisa...Hajasema kivipi ila watch this space..

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...