
Video Credits: Swahilivilla Videos
ASANTENI...
Asanteni HCP Metro DC na NesiWangublog
Asanteni wataalamu wa afya waliojitolea,
Asanteni TanoLadies, uongozi wa University Methodist Church
Uongozi wa The Way Of The Cross Gospel Ministriy, jumuiya ya Watanzania 'ATC' pamoja na wote mliojitoa kufanikisha huduma hii.
ZAIDI YA YOTE, Shukrani kwa Ebou Shatry Swahilivilla Blog ambaye bila yeye, wote tuliokosa kuhudhuria tusingejua kilichotokea.
WAKATI UJAO TUSIKOSE
Zifuatazo ni picha kwa hisani ya NesiWangu Blog
Timu nzima iliyojitolea.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...