Dada Pily Mpenda na familia yake wakishirikiana na Familia ya Kiwanga wote wa Jijini Dar es Salaam,wanapenda kuwakaribisha katika Hitma ya binti yao mpendwa ULLY HARUN KIWANGA itakayosomwa siku ya Jumamosi tarehe 19.04.3014 Saa 7.00 mchana nyumbani kwao Kinondoni Block 41 karibu na shule ya msingi Kumbukumbu.
Wote mnakaribishwa.
WABILLAH TAWFIQ
Innalilahi Wainnailahi Raajiu'n,polei sana wafiwa ni kazi ya Allah,hapa cha msingi tunaambiwana Mtume wetu Muhammad SallaAllahu a'layhi wasalaam: kuwa mmoja wenu akifa basi ficheni au msihadisie maovu yake aliyoyafanya ila mueleze mazuri yake sasa hivi hamuoni kuwa muna mfichulia mambo ambayo yaliku si mazuri kuonyeshwa mbele ya ulimwengu mzima hali yakuwa msichana alikuwa hajajistiri yupo uchi??? nadhani ni busara na ni uislamu kumuondosha hapa kabisa, na tunamuombea Allah amsamehe yeye pamoja na sisi na amfanyie wepesi huko nalipo tangulia na awape subra wafiwa Amin. na wazingatie haya yote niliyoweka shukran juba UK
ReplyDeleteAsante Juba
ReplyDeleteIla winziyo wansikitika kuukosa huo uzuri