Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Suzan Kaganda akiongea na waandishi wa habari. Kulia mwenye shati la bluu ni OC-CID wilaya ya Tabora ASP - R.S. Bottea
Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya Pombe ya moshi na pombe iliyokamatwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora
Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi kwa waandishi wa habari
![]() |
Kamanda Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa habari Gobore alilokamatwa nalo mhalifu alipokuwa akiongea nao leo. |
Tabora ili muweze kuingia Peponi na kuuona Ufalme wa Milele acheni Ujambazi, Wizi wa ng'ombe, kilimo cha Bangi na usindikaji wa pombe ya Gongo !
ReplyDelete