
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (kulia) akijadiliana jambo na Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Leticia Nyerere.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, JajiFrederick Werema (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo, Shamsi Vuai Nahodha (katikati) na kulia ni Dk. Tulia Akson mara baada ya kikao cha jana asubuhi.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na mwanasiasa mkongwe, mzee Kingunge Ngombale Mwiru na mjumbe wa Bunge hilo Juma Njumayo aliyevaa mewani mweusi(kulia) baada ya mwanasaiasa huyo.
(Picha na Magreth Kinabo) (FS)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...