Kuku na vifaranga vyake wakisaidiana kufanya kazi ya kula wadudu waliokuwepo kwa Mbwa huyu kama kamera yetu ilivyofanikiwa kuinasa taswira hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. The mdudu,hii ni ishara tosha ya kwamba Tanganyika yetu ni amani tupu isiojificha,naitwa the mdudu au Tanganyika kwanza.

    ReplyDelete
  2. Nchi yetu ina amani na upendo kama huamini angalia mwenyewe myama na ndege wanafurahia maisha.

    ReplyDelete
  3. kazi imemaliza jamaa ndo anakuja juu kutoa shukrani.zanzibar kwanza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...