Home
Unlabelled
waraka wa uraia pacha kutoka california, marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huwezi kuwa 'nyoka mwenye vichwa viwili' labda uwe ni nyoka jini!
ReplyDeleteRudi Malampaka-Tanzania, ondoka moja kwa moja fungasha virago vyako California, pia usichukulie Tanzania kuiga nchi zingine kama Kenya, Uganda na Rwanda kuignia Uraia Pacha!
Tanzania ni nchi tofauti saaana sio kama mnavyo dhani.
Nyinyi wana - California ni wajanja sana. Pamoja na hizo taaluma na ujuzi mlionao, sidhani kama kuna mtu mwenye nia ya kweli ya kujenga taifa la Tanzania. Kama kweli mnataka kujenga nchi, kwa nini msirudi nyumbani? Hii yote ni janja ya nyani tumeshawastukia. Mnataka kula kotekote!!!!
ReplyDeleteMmeorodhesha faida nyingi,vizuri, hamkuacha pia matatizo myapatayo kwa kua na uraia wa kigeni.....Swali langu ni kwamba, hamkuyajua haya kabla ya kuchukua maamuzi ambayo sasa yaonekana kama mnajutia????Ni wangapi walioonesha nia ya kutaka kuwekeza lakini wakakwazwa kwa kua na uraia wa nchi nyingine????Mbona tunasaidiwa na Wazungu kila uchao....hali ya kua wao si raia wa Tz????Ni kweli nia yenu ya kusaidia nchi kuendelea yakwamishwa kwakua hatuna utaratibu wa raia pacha?????Nadhani inatosha sasa kusoma hizi habari......mnaowalenga kwa dhumuni la kufikisha ujumbe nadhani wamesikia....wapeni muda wapime....risk and advantage of it, kisha watarudisha jibu.
ReplyDeleteWadau no#1, #2 #3 hivi akili zenu ziko moja?! Au ndiyo zimeganda hapo. Naona mawazo ni yale yale? au mwandishi mmoja anajifanya wako wengi? Muda ndiyo msema kweli. Kweli inaingia akilini ya kwamba watu wote wanaweza kuishi ndani ya sehemu moja tu?!! Hamuoni mataifa mengine yote wapo TZ na sehemu mbali mbali ulimwenguni? nashindwa kuwaelewa nyie watu wapinga uraia pacha, au mnaandika madude ili mradi uonekane unapinga?! Kama kuja jamaa wa Ughaibuni waliwaiibia bwana au mke, piga moyo konde, na nyie mtafanikiwa. Ni haki ya mtu ya kuzariwa na ulimwengu unatambua ilo, na hivyo visheria vyenu mnavyoweka kunyanyasa wenzenu vimefika mwisho karibuni, jipangeni upya. Mdau#3 kwa hiyo unaona sifa unaposaidiwa na wazungu kuliko ndugu zako?! Nina uhakika kabisa wazungu wanapowekeza wanaweka mashariti fulani. Mie sijutii laba watu wengine, nadhani watu tumesdia, tunasaidia na tunataka kusadia zaidi, na uraia pacha utatupa motisha zaidi kwani utaonyesha upendo kwetu kama tunavyojitaidi kuonyesha kwa nyumbani. Hamkeni waTanzania wakati wa maendeleo ndiyo huu, siyo lazima kila kitu tuwe wa mwisho.*Mmbongo Chiberia*
ReplyDeleteThis is the best reasoning "ever" for dual citizenship.
ReplyDeleteWasio kubaliana na haya, wana roho ya kwanini hiyo inaeleweka. Kwani watu wenye roho ya kwanini wapo kila mahali.
Nawapongeza sana watu wa California kwa kutoa maelezo madhubuti ya kwanini uraia pacha ni muhimu. Aluta continua!
Mdau number mbili. Hivi leo ndio umeona California wanashabikia uraia pacha mbona wadau wengine wa Uk na sehemu zingine walipoandika hukutoa comment zako?? Its not where people live, its high timeTanzania nayo ifikirie jinsi ya kuwaccomodate na kuwatimizia raia zao wa kuzaliwa haki zao. Hali inavyoendelea itatokea na isipotokea ndio itakuwa majuto ni mjukuu kama wakati vijiji vya ujamaa. Maendeleo hayaji kwa mteremko.Changes are inevitable...
ReplyDeleteWaliokuja kuwekeza Tanzania kama mnavyo taka kufanya ninyi:
ReplyDelete1-HAWAKUWAHI KUOMBA TUWAPE URAIA WETU HAPA.
2-FURSA ZIPO WAZI NA UCHUMI WETU NI WA USHINDANI NA HURIA, MJE KUSHINDANA KUWEKEZA NA RAIA WA KIGENI WAWEKEZAJI WANAOTARAJIA KUWEKEZA NA WALIOPO TANZANIA...MSITOE VISINGIZIO VYA KUDAI URAIA PACHA NDIO MUWEKEZE KWANI SIKU ZOTE MLIKUWA WAPI?, THERE IS NO FREE LUNCH, MSIFIKIRI KUWA NA UTANZANIA NDIO MTAPATA URAHISI WA KUWEKEZA YOU HAVE TO PULL UP YOUR SOCKS!
3-KAMA NI KUJITOA KUIJENGA TANZANIA HAIHITAJI MUWE NA URAIA WA HAPA WAKATI URAIA WA KIGENI WA MAJUU TAYARI MNAO, HUU WA TANZANIA WA NINI?, ILHALI WENGI WENU MNAO WAZAZI WANGALI RAIA WA HAPA TANZANIA NA NDUGU NA JAMAA WENGI TU MLIOWAACHA HAPA.
Mna lenu jambo kuutaka Utanzania kwenye muda huu wa Gombania Goli na lala salama kuelekea MAISHA BORA YA TANZANIA!
Kwendeni zenu kuleee!