 |
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akiwa na waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
|
 |
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam. |
 |
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh, akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios baada ya kumalizika kwa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam |
 |
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akiwa na waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
|
Baadhi ya Waumimi wa Dhehebu ya Orthodox wakiwa katika Ibada ya kusherehekea ufufuko wa Yesu Kristu (Pasaka) iliyofanyika katika Kanisa hilo lililpo eneo la Red Cross jijini Dar es Salaam. Picha na Albart Jackson
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...