 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama
cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman
Kinana (kushoto) katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa
Tanzania mara mbili katika awamu mbili tofauti, Mzee Cleopa David
Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye amestaafu rasmi siasa baada ya
kuitumikia kwa zaidi ya miaka 33. |
Mzee Msuya akitoa
pongezi zake kabla ya kuaga rasmi.
 |
Kundi la wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee
Kassim Msemo wakimkaribisha Mzee Msuya kijijini
|
Rais Kikwete
akizungumza na wananchi katika hafla ya kumuaga Mzee Msuya katika
ulingo wa siasa, uliofanyika leo katika ofisi za CCM wilaya ya
Mwanga. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
does Kinana have any normal shirts - happy to organise michango to buy him some shirts.
ReplyDeleteBwana Msuya tunaunga mkono mchango wako katika taifa hili wa miaka mingi. Wewe pamoja na wazee wengine wastaafu muendelea kutoa ushauri kwetu tunauhitaji.
ReplyDeleteMzee Msuya ushauri wako ni muhimu sana
ReplyDelete