Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa  Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.
 Kikosi kabambe cha  Mpira  wa miguu cha  Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshiriki katika Mashindano ya Mei mosi yanayoendelea mjini Morogoro.
 
 Timu ya kamba Wanawake ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One  ambapo Timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo.
Timu ya kamba Wanaume ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One  ambapo Timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...