Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa pili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carloyne Newa (kushoto), kuhusu kujiunga na Mfuko huo wakati wa uzinduzi wa michuano ya Kombe la NSSF kwa vyombo vya Habari. Michuano hiyo inafanyika katika viwanja vya TCC Chag'ombe jijini Dar es Salaam.
Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiulizia taratibu za kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carloyne Newa (kulia), akitoa maelezo kwa baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam walipofika katika banda la NSSF, na kutaka kujiunga na mfuko huo, wakati wa michuano ya kopmbe la NSSF kwa vyombo vya habari.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carloyne Newa (kulia), akitoa maelezo kwa baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam walipofika katika banda la NSSF.
Maofisa wa NSSF wakitoa ufafanu kuhusu mafao yanayotolewa na Shirika hilo.
Mwanachama mpya aliyejiunga na Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), akijaza fomu ya kujiunga na mfuko huo.
Baadhi ya waandishi wa wakipata maelezo kabla ya kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...