Ankal akiwasili leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa WEF au kwa kimatumbi Mkutano wa Uchumi Duniani kwa kanda ya Afrika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2014

    ankal nilikuona jana kwenye music award na viwalo vya mandela.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2014

    Ankal beware of Boko haram

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2014

    same shirt he wore on Saturday?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2014

    vipi hicho kipaa hapo hakivuji kama cha kwetu?mminhow glauke

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2014

    Mjomba Michuzi jihadhari na Wasii wa Naija !

    Usije ukaingia Masjid kuswali ukaacha viatu vyako vya raba na begi la Laptop nje watakuliza !!!

    Fanya kama Bongo nunu mfuko wa nailoni kabla ukiingia weka viatu uwe navyo mwenyewe.

    Si unakumbuka Bozi Boziana/ Abubakari Mwanamuziki wa Congo-DRC alikwenda Naija akaibiwa viatu vyake alivyo viacha nje yeye akiwa anaswali Masjid?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2014

    Wanaigeria watakukaribisha kwao kama vile Karumanzila mtu wa Kigoma anavyolizwa jijini darisalama!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2014

    Ohoo upo Nijeria?

    Na mibegi mibegi yako utawajibika kuingia nayo hata ukienda chooni!!!

    Jamaa wezi sana wakiwa kwao na nje ya kwao !

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 05, 2014

    Ili kujikinga na Usanii na kuibiwa itabidi ukiingia kwenye Hoteli ama Mgahama ukipata chai utahitajika ukae juu ya mabegi yako!

    ama sivyo ukiliweka pembeni imekula kwako utakuta wameliiba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...