Kocha wa Arsenali Arsene Wenger akimbusu mchezaji wake baada ya kuulopu kwa kuwashinda Hull City bao 3-2 kwa shida na kunyakua kombe la Meeee oh.... samahani.... kombe la FA baada ya miaka kenda.
Kocha Wenger akifurahia kombe la FA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. FA cup kombe mee... Basi hujui kitu kenge wewe, kombe la meee ni capital one!! Hovyoo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2014

    Duh!
    Kale kagoli ka tatu kananikumbusha mitindo ya kina Jazinho na Pele miaka ileeee..
    Hakuna raha kama kuchukua kombe huku bwawa la maini na mashetani wekundu wakiambulia patupu!!
    Raha ilioje!
    Tukiongeza kina Ozil wawili watatu tu mwakani watakiona washambenga bwawa la maini na mashetani.
    Hapa nimeketi nasngalia replay yetu. Mboni raha!
    Mdau Ukerewe

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2014

    Machozi bend aka liver broo michuzi pata hiyo.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2014

    Kushinda ni kushinda tu, na washindi wa mwaka huu wa FA Cup ni Arsenal na si Chelsea wala timu nyingine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...