Profesa Boas akiwa na Cheif wa swahilivilla Abou Shatry baada ya Mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 Maryland Nchini Marekani.   Sikiliza Audio ya Mahojiano kuhusu Muungano na Profesa Boas ambaye ni Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2014

    asante Profesa Boas lakini hata wew umekosea kama kutakuwa na serekali tatu basi kila serekali lazima iwe na katiba yake yenye kulinda masilae ya nchi pamoja watu wake na hii kwa kile upande kwahiyo kama tanganyika au tanzania bara itakuwa na serekali yake basi watu wote ambayo sio raia wa tanganyika lazima wafuate masharti ya tanganyka hata kama tulikuwa na amani na undugu na hii ndio itafanya zanzibar waliokuwa tanganyika wapate shida kwa sababu sheria itakuwa inawabana. serekali mbili bado sio mzuri maana upande wa tanganyika ni jina lakini aiana madaraka ya kuhamua mambo yake ila ni serekali ya muungano ndio wahamuaka na kupiga kura ya mambo ya muungano wakati zanzibar wana bunge lao pia. serekali moja ndio mzuri lakini itakuwa pia imewameza zanzibar kuwa mikoa na wilaya na masuala ya zanzibar yatakuwa yanapngwa na serekali moja ila labda wanaweza kuafanya hivi kila mkoa iwe na serekali zao na wawe na bajeti yao na wanajitengemeakwa kila kitu kama USA na rais awe anatoka sehemu yoyte au dini yoyte kuliko kwa sasa lazima awe mkristo kwa muda fulani halafu muislamu kwa muda mfulani yaani zamau kwa zamu kwa jumla sijali rais awe dini gani as long as hatakuwa akilteta dini yake au kulazimisha watu na watu waombe mungu kwa imani yao maana dini na siasi ni vitu mbali mbali jambo dini inawalemisha watu kwa kufanya vitu vuzuri na kuomba mungu kwa imani yao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...