![]() |
Kiongozi swa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akichangia hoja wakati wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 leo . |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiurikiano wa Kimataifa Kimataifa Mhe.Bernard Membe katikati akiwa katika picha mbili tofauti na Wanachuo wa Chuo Cha Diplomasia Kurasini cha Jijini Dar es Salaam. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...